Ina maana hakuna ages 19-28 humu?

Mimi na clue la 'wajuvi wa mambo' A Level yangu tupo humu. ID moja ni ya dini sana, ID nyingine mbili ni za teknolojia kule kwa kina Chief Mkwawa. Mimi nazurula sana jukwaa la kimataifa. Kuna mwingine siijui ID yake. Mimi washatafuta ID yangu hawaipati kabisa.
Wote hawa tuna 21 au 22. Kama kuna wengine siwajui kabisa. ID yangu ya zamani nishasahau hata jina lake
 
Kumbe mpo eeh
 
Nimeweza[emoji3][emoji3][emoji3]kweli usibague madogo utakosa vingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…