zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
- Thread starter
- #161
Off course mastori kama yoteKwahiyo vijana ndio tunakutana humu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Off course mastori kama yoteKwahiyo vijana ndio tunakutana humu!
Kizazi Sana[emoji1360][emoji1360]Tupo mkuu
Niko POA baby, uko salama wewe? Ukuje PM Nina zawadi yako babyPoa mubebe mzima wewe
Niko POA baby, uko salama wewe? Ukuje PM Nina zawadi yako baby
Sasa we unataka kung'ang'ana na wazee wenzio tu muda wote saa zingine pata taste ya vijanaEbu kua kua kidogo halafu nitakuja pm
[emoji23][emoji23]Sasa we unataka kung'ang'ana na wazee wenzio tu muda wote saa zingine pata taste ya vijana
Sidhani Kama alwahi hata kuexist namjua aliyesema watoto Ni taifa la kesho SIO vijana[emoji23][emoji23]
Yule aliyesema Vijana ndio taifa la kesho yupo Hai Kweli
Hata we tunakupokea no tabu12 years hapa
Utu uzima dawa Ila hautibu corona[emoji23][emoji23]Aisee wajomba zangu muamkapo asubuhi muwe mnatusalimia halafu sasa ndiyo muandike mnacho andika hapa
Natabiri wewe una miaka kati ya 23-27Ina maana JF mmesha zeeka wote mko above 30 tu. Hakuna wale newcomers na wale wanao range ages hizo Kama mpo tukutane hapa basi!
Wakati mwingine kuongea na ages mate wako inapendeza sana kulikoni pale unapoongea na wale makonki
Jokes/Likes and Dislikes/Refreshing
Au wote ni wahenga
Chill Hapa Kinyamwezi
Umekosea sanaNatabiri wewe una miaka kati ya 23-27
hahhahha Mimi niliamua kuwasemea tu,bado nipo sana kwenye kundi hili.hata hivyo sitaki na sidhani kama nitafika miaka 70.Tupo hapa mkuu usijali haupo peke yako