Ina maana hakuna ages 19-28 humu?

Ina maana hakuna ages 19-28 humu?

Aisee wajomba zangu muamkapo asubuhi muwe mnatusalimia halafu sasa ndiyo muandike mnacho andika hapa
 
Hivi hawa vijana wamekwenda wapi Leo[emoji44][emoji44]
 
Ina maana JF mmesha zeeka wote mko above 30 tu. Hakuna wale newcomers na wale wanao range ages hizo Kama mpo tukutane hapa basi!

Wakati mwingine kuongea na ages mate wako inapendeza sana kulikoni pale unapoongea na wale makonki
Jokes/Likes and Dislikes/Refreshing

Au wote ni wahenga
Chill Hapa Kinyamwezi
Natabiri wewe una miaka kati ya 23-27
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Tupo hapa mkuu usijali haupo peke yako
hahhahha Mimi niliamua kuwasemea tu,bado nipo sana kwenye kundi hili.hata hivyo sitaki na sidhani kama nitafika miaka 70.
 
Back
Top Bottom