Ina maana hakuna mtu aliyeliona hili??

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
najiuliza, ina maana hakuna mtu mtu anayeweza kumkumbusha raisi kuhusu hotuba yake aliyotoa dec 2013 kuhusu ajira za walimu? hakuna mtu anayeweza kumuuliza mh. majaliwa kuhusu ile mapema januari? hakuna mtu anayeweza kumuuliza sifuni mchome kuhusu majina kutolewa muda wowote? ina maana tz hakuna mtu anayeweza kusema kuhusu mwalimu kukaa mwaka mzima nyumbani baada ya kumaliza chuo? ina maana hapa tz hakuna hata mbunge anayeweza kukumbusha serikali kuwa hawa walimu watarajiwa wanaathirika kisaikolojia kukaa bila kufahamu kesho yao? ina maana hakuna hata mbunge anayeweza kuiambia serikali yake kuwa hawa ni wapiga kura watarajiwa wa 2015 na asilimia 92 wana kadi za kupigia kura? ina maana tz hakuna...........?

basi kama hakuna atakayesimama kuwasemea hawa vijana nitaenda mwenyewe.
 

Poleni sana mkuu...tatizo ni uoga na ubinafsi wenu walimu ndio umewaikisha hapa. Jitoe muhanga kuonesha mfano.
 
Hayupo, wao wanamuwaza Lowassa, wanawaza Chadema itakufa lini? Pia wanawaza mbona posho za bunge la katiba kidogo? Wange weka mil.100 ndio wanajua hicho. Mambo ya msingi kwao ya ovyo ya ovyo ndio ya msingi. NYERERE aliwahi kusema "serikali ya awamu ya kwanza hadi ya tatu imefanya mema imefanya ya kijinga yakijinga razima yaachwe,ubaya wenu mnaacha yaliyomema mnafuata ya kijinga".Unaposema pesa ya kuajiri walimu imepelekwa kwenye bunge la katiba nakuwa na wasi wasi na aina ya serikali tuliyo nayo kwamba wizara ya elimu haina umuhimu hadi pesa zake zipelekwe kwenye katiba? Mbona hawaja peleka za wizara ya ulinzi na Jkt?
 
NJALI unataka jeshi linyimwe pesa?
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana mkuu...tatizo ni uoga na ubinafsi wenu walimu ndio umewaikisha hapa. Jitoe muhanga kuonesha mfano.

what can we do mkuu? nani wa kutusemea?
 

ubinafsi umetutawala walimu maana hata wale waliopata ajira tayari ikiwemo na cwt wote kimya. yaani aliyeshiba hamjui mwenye njaa wanasahau nao walisoma vyuo kama sisi.
 
Kwanza wengi wao walimu waliopo maofisini wanafurahia hii hali unadhani hii sekta tunapendana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…