CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,139
najiuliza, ina maana hakuna mtu mtu anayeweza kumkumbusha raisi kuhusu hotuba yake aliyotoa dec 2013 kuhusu ajira za walimu? hakuna mtu anayeweza kumuuliza mh. majaliwa kuhusu ile mapema januari? hakuna mtu anayeweza kumuuliza sifuni mchome kuhusu majina kutolewa muda wowote? ina maana tz hakuna mtu anayeweza kusema kuhusu mwalimu kukaa mwaka mzima nyumbani baada ya kumaliza chuo? ina maana hapa tz hakuna hata mbunge anayeweza kukumbusha serikali kuwa hawa walimu watarajiwa wanaathirika kisaikolojia kukaa bila kufahamu kesho yao? ina maana hakuna hata mbunge anayeweza kuiambia serikali yake kuwa hawa ni wapiga kura watarajiwa wa 2015 na asilimia 92 wana kadi za kupigia kura? ina maana tz hakuna...........?
basi kama hakuna atakayesimama kuwasemea hawa vijana nitaenda mwenyewe.
basi kama hakuna atakayesimama kuwasemea hawa vijana nitaenda mwenyewe.