ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Babu tale kasema Rayvanny Bado ni msanii wa wasafi kwakuwa Bado hajalipa pesa anayostaili kuilipa Kwa wasafi, Ili wamalizane kibiashara, kwahivo inamaana Bado wasafi wanaendelea kula 60%ya kila Senti inayoingia kupitia Rayvanny.
Sasa najiuliza Nchini Tanzania msanii Rayvanny ndio anayeongoza Kwa mauzi ya digital platform akifuatiwa na Diamond, so miska yote 6 hiyo asilimia 40% ya mapato anayopokea hayajafika mil 800 , au ziliisha kwenye bata na paulila, ni ngumu kuamini haya yanayotokea.
Inawezekana asilimia 70 ya maisha ya wasanii ni maigizo. Sasa kama kwenye brand kubwa ameshindwa kutengeneza milioni 800, huku nje c ataenda kuwa mb dog.
Nashauri Rayvanny aweke wazi Wadau tumchangie, mi naanza na kutoa milioni 10