Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeua mkuuHumu si JF ,ulimwengu mwengine huu,lazima ujipakulie minyama,hata mimi mwenyewe nina hisa Barick Gold na gorofa tano Kariakoo.
Kuuza sura tu.wale vitambi vi3 ndo Wana faidika.na diamondYeye afaidiki?
Konde Boy alikuwa anaishi Mbezi Goig kwa nyumba ya jamaa yangu. Alishindwa kumudu kulipa Kodi mpaka wakashitakiana Mahakamani.Ila Konde alimnunulia Kajala RR 🙄
Kama wanauza sura hela ya kununua magari na kujenga studio za mziki wanapatia wapi? Hivi unamjua vizuri Rayvanny kabla ajatoka kimziki alikuwa na maisha gani?Kuuza sura tu.wale vitambi vi3 ndo Wana faidika.na diamond
Kama wanauza sura hela ya kununua magari na kujenga studio za mziki wanapatia wapi? Hivi unamjua vizuri Rayvanny kabla ajatoka kimziki alikuwa na maisha gani?
Niliona interview moja TID anasema anashangaa watu wanamsema anaishi kwao wakati yeye ndo ame renovate nyumba yao kisasa tofauti ilivokua zaman na anamtunza mama yake miaka yote kifupi yeye ndo faza house.. na hajataka kuhama ili aendelee kumhudumia.. makes sense??Hivi mkuu unafahamu kama TID mnyama bado anaishi kwao? Yaani ukiwatoa Jide, AY , falsafa, domo, Alikiba, kidogo shilole wengine ni tia maji tia maji labda nyandu na bluu kilichowatoa ni ngada na kurenga magari mjini waliobaki ni mungu nisaidie nifike salama