Ina maana hizo 40% alizokuwa anapewa mpaka leo hazijafika milioni 800, Vanny B

Suge knight alimteka Eazy E.....
Akamsainisha mikataba kwa Ulazima ili tu
Amuachie Dre.
Kwani nyie wabongo Fleva hawuwezi fanya hivyo...?
 
Kuuza sura tu.wale vitambi vi3 ndo Wana faidika.na diamond
Kama wanauza sura hela ya kununua magari na kujenga studio za mziki wanapatia wapi? Hivi unamjua vizuri Rayvanny kabla ajatoka kimziki alikuwa na maisha gani?
 
Niliona interview moja TID anasema anashangaa watu wanamsema anaishi kwao wakati yeye ndo ame renovate nyumba yao kisasa tofauti ilivokua zaman na anamtunza mama yake miaka yote kifupi yeye ndo faza house.. na hajataka kuhama ili aendelee kumhudumia.. makes sense??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…