Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Atakuwa anatumia kachumbari ya chupa...
Pole mkuu. Vipi kachumbari nayo huwa hutumii? Inawezakuwa chanzo cha kupata hill gonjwa! Kwa mazingira yetu kutia nnya kinywani ni jambo la kawaida, usijali!