GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
“…watu wanauawa hovyo huko…waambieni wanasiasa kwamba vyeo havipatikani kwa kuua watu, kwa kunyofoa viungo…” – Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuguswa na wimbi la utekaji na mauaji ya watoto linalodaiwa kuendelea maeneo mbalimbali hapa nchini…akiwaomba machifu kote nchini kusimama imara na kuilinda jamii kwa kuonya na kuwafichua wale wote wanaojihusisha na vitendo hivyo.
Pia soma: Rais Samia: Machifu waambieni wanasiasa ukweli vyeo havipatikani kwa kuua watu
Yaani kama mtu wa kawaida sana Tanzania GENTAMYCINE nawajua Wanasiasa wenye huu Ushirikina wewe huwajui?