Ina maana ripoti zilizopita za CAG zilizokuwa zinawasilishwa ndani ya utawala Wa awamu ya 5 zilikuwa zinafanyiwa "editing"?

Exactly mjinga ni msahulifu, mwerevu sio msahulifu
 
Toa hoja utaeleweka mkuu sio kutukana. Hili ni jukwa la kutoa mawazo na kubishana/ kushindana kwa hoja.Kila mtu humu anaweza kutukana ila tunaheshimu utu na mawazo ya kila mtu.
Hakuna cha hoja hapa , huna njia ambadala ya kuhoji report ya CSG.
 
Upinzani ndio vichwa stahiki sana vya kuliongoza hili taifa... CCM wengi ni vilaza aiseee....
 
Magufuli ni fisadi papa aliekuwa anajificha kwenye mwavuli wa propaganda ili kuonekana ni mchapa kazi!
 
Mkuu ndani ya miaka mitano iliyopita hapakuwa na ripoti za CAG zaidi ya usanii uliopitiliza. Watu "walishikiwa bastola" kuwasilisha kile mkubwa alipenda kukisikia. Ona sasa wanavyofunguka; you can note something.
Fact !!!!
 
Tatizo la Nchi hii Ni chama kinachotuongoza. Kinatupeleka kitakavyo. Sio tutakavyo
 
Utawala wa jiwe ulikuwa wa kifisadi haswaa
 
So na report ya sasa inafanyiwa editing kuficha uozo kwenye serikali ya mama na kuonesha uozo serikali ya mwendazake Kama ambavyo serikali ya mwendazake ilivoficha uozo wake na Kuonesha uozo wa mkuu Wa Msoga..ccm ni matapishi matupu
 
Sehemu nyeti za Chato zimeanikwa, kende zote nje, alizoea kutudanganya
 
Usiamini ripoti ya CAG 100%. Kama Clouds Media Group wana uthibitisho wa malipo ya risiti na CAG alipewa, lakini bado report yake inaonyesha kuna ufujaji kwanini tumuamini?
Hivi ukitoa receipt unabaki nayo au unampa aliyekupa pesa? Naamini CAG aliomba receipt kwa mkaguliwa wake ambaye si Clouds!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…