Ina maana ripoti zilizopita za CAG zilizokuwa zinawasilishwa ndani ya utawala Wa awamu ya 5 zilikuwa zinafanyiwa "editing"?

Mkuu ndani ya miaka mitano iliyopita hapakuwa na ripoti za CAG zaidi ya usanii uliopitiliza. Watu "walishikiwa bastola" kuwasilisha kile mkubwa alipenda kukisikia. Ona sasa wanavyofunguka; you can note something.
Kwa hiyo mkuu unataka kusema Prof Assad alikuwa hatoi report? Nakumbuka Prof Assad alikuwa CAG kuanzia 2014 hadi 2019 .
 
Ndungai kama makonda tu
Hawana dola sasa hivi
 
So na report ya sasa inafanyiwa editing kuficha uozo kwenye serikali ya mama na kuonesha uozo serikali ya mwendazake Kama ambavyo serikali ya mwendazake ilivoficha uozo wake na Kuonesha uozo wa mkuu Wa Msoga..ccm ni matapishi matupu
ndo hivyo.....kila mtu anajisafisha kwa muda wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…