ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wadada wengi wa mjini utakuta katika simu zao wako na picha ambazo ni tofauti na uhalisia wao.wanapost kwenye social network picha ambazo wamejifananisha na mbwa.na unakuta ni wanawake wakubwa tu michezo ya kizembe .
Nimeshindwa kujua fikra gani inakupelekea kweli mtu mzima kujibinua ulimi kwenye snapshoot.lengo ni nini.
Unakuta wengine style yao wanakuza macho yanakuwa makubwa
Kujitanua macho na mashavu ndo uzuri?
Wengine maua juu ya kichwa wanaziita filters.me kwa hekima yangu kidogo naona mitandao imeleta utumwa na akili za kijinga
Inafanya uwezo wa kufikiria unakuwa mdogo sana
Anyway inaweza ikawa ni kwa ajili ya fun.lakini edit nyingine za kwenye uso nazishangaa sana yaani picha za wanawake siku hizi zimekuwa zinafanana.wote wanajaribu kuyafanya macho yawe makubwa.kutanusha mashavu.nani kawaambia huo ndo uzuri.kwa nini mtu usipige picha reality.
Hata kwenye masherehe au mjini wakina dada makeup mnaigana.siouni tena ule uzuri wa asili.mnafana fanana kila kitu.mnafanana nyusi,macho yaani hata hamjui mnavyonikera..upande wa pili mnaumiza mwili ,madawa kibao ya mchina kujichonga mwili ili kufanana na macelebrities wa nje.mapozi ya picha za uchi..yaani wengine kujichubua weupee kama jini.ukishakuwa mkubwa tambua utoto haufai
.mna bahati tu kila mtu na mzigo chake.acha ni deal na yangu.
Ila hata wakiNichukia ndo nshasema