Ina maana Sisi Yanga Hatupati kitu? 😳😳😳 Tutasonga mbele

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Hii TFF ni ya Simba kabisa... tuzo 5 zote zimeenda kwao. Ina maana sisi hatukucheza hii ligi? Hii ni Hujuma. Hata wale wachezaji ambao tulionesha tunawata au kuwasajili wamenyimwa.

Hili jambo Viongozi wa Yanga watajadiliana ili twende kushtaki.hii siyo haki. Mnadumaza mpira wa Tz. Huu ni upendeleo wa wazi kabisa.
 
Watu wa GSM wanawaza masofa tu ,tuzo mtazisikia kwa hewa ,,hapa utopolo inabd ianze kutafuta muwekezaji mwingine GSM waongo kinoma
 
Bahati mbaya sana hakukua na Tuzo ya "Mpanda Mipira Bora"
 
TFF ya Karia ina management mbovu sana, wewe cheki tu swala la Morrison, ndani ya siku 3 lingetakiwa limepatiwa solution, cha ajabu linatengenezewa mazingira ya rushwa na mihemko ya usimba na uyanga.
Ndiyo maana mpira wetu hauendelei, kila mwaka tupo 130+.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…