Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Dec 4, 2025 #1 Who are you sasa kazi unayo nendeni wikipedia mkaone wasifu wake hatambuliki kuwa ni raisi 2025. Na wameshamsagia kunguni ya wasifu wake kwenye wikipedia.
Who are you sasa kazi unayo nendeni wikipedia mkaone wasifu wake hatambuliki kuwa ni raisi 2025. Na wameshamsagia kunguni ya wasifu wake kwenye wikipedia.
Leke Ta Member Joined Dec 4, 2022 Posts 23 Reaction score 22 Dec 4, 2025 #2 Fbn said: Who are you sasa kazi unayo nendeni wikipedia mkaone wasifu wake hatambuliki kuwa ni raisi 2025. Na wameshamsagia kunguni ya wasifu wake kwenye wikipedia. Click to expand... Attachments FB_IMG_1764657258302.jpg 34.5 KB · Views: 23
Fbn said: Who are you sasa kazi unayo nendeni wikipedia mkaone wasifu wake hatambuliki kuwa ni raisi 2025. Na wameshamsagia kunguni ya wasifu wake kwenye wikipedia. Click to expand...
King Nkondo JF-Expert Member Joined Jan 1, 2023 Posts 2,374 Reaction score 3,311 Dec 4, 2025 #3 Wikipedia hata wewe asaiv unaweza uka-edit ukajitambulisha kama rais wa tz so ni ukurasa huru sema bado tu hajajitokeza mtu yeyote kufanya update!!
Wikipedia hata wewe asaiv unaweza uka-edit ukajitambulisha kama rais wa tz so ni ukurasa huru sema bado tu hajajitokeza mtu yeyote kufanya update!!
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Dec 4, 2025 #4 Tusubiri kukamatwa kwa wikipedia na kuswekwa kisutu.