Inabidi niseme tuu

Inabidi niseme tuu

Dav jm

Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
58
Reaction score
45
Ifikie mahali tuheshiane jamani nimevumilia nimeshindwa nasema hivi mi kwa maoni yangu, na sijaribu kumponda mtu yoyote, baada ya kutafakari sana, na kupima uzito wa pande zote, ninachodhani, na ninadhani nyie pia mtakubaliana na mimi, sababu ni jambo liko wazi, ikibidi nitakumbusha na mifano kadhaa, kwa mustakali wetu, mi naomba niseme tu, na nina sababu za kuamua kulisemea hili hapa, kwa sababu zilizo wazi, nahisi, na nisinukuliwe vibaya, nasema hivi, (ingawa kiukweli sijali, itakavyotafsiriwa), na ninataka wote muwe mashahidi, kwa kweli sikumbuki nilikuwa nataka kusemaje
 
[emoji23][emoji23][emoji23] loh
 
Kweli ULIMBUKENI ni kama mvua, hunyesha hata kwenye KINYESI
 
Hizi viroba cjui havijafungiwa bd....
Ifikie mahali tuheshiane jamani nimevumilia nimeshindwa nasema hivi mi kwa maoni yangu, na sijaribu kumponda mtu yoyote, baada ya kutafakari sana, na kupima uzito wa pande zote, ninachodhani, na ninadhani nyie pia mtakubaliana na mimi, sababu ni jambo liko wazi, ikibidi nitakumbusha na mifano kadhaa, kwa mustakali wetu, mi naomba niseme tu, na nina sababu za kuamua kulisemea hili hapa, kwa sababu zilizo wazi, nahisi, na nisinukuliwe vibaya, nasema hivi, (ingawa kiukweli sijali, itakavyotafsiriwa), na ninataka wote muwe mashahidi, kwa kweli sikumbuki nilikuwa nataka kusemaje
 
Ifikie mahali tuheshiane jamani nimevumilia nimeshindwa nasema hivi mi kwa maoni yangu, na sijaribu kumponda mtu yoyote, baada ya kutafakari sana, na kupima uzito wa pande zote, ninachodhani, na ninadhani nyie pia mtakubaliana na mimi, sababu ni jambo liko wazi, ikibidi nitakumbusha na mifano kadhaa, kwa mustakali wetu, mi naomba niseme tu, na nina sababu za kuamua kulisemea hili hapa, kwa sababu zilizo wazi, nahisi, na nisinukuliwe vibaya, nasema hivi, (ingawa kiukweli sijali, itakavyotafsiriwa), na ninataka wote muwe mashahidi, kwa kweli sikumbuki nilikuwa nataka kusemaje
Pombe sio chai mkuu
 
Unaeza jikuta umeachia bonge moja la mtusi mpaka jamii ya forums wakakushangaa
 
Umezunguka sana ndiyo maana umesahau cha kuandika
 
Back
Top Bottom