Inabidi tukubali tu kuwa huu mwaka ni wa Arsenal, akiukosa ubingwa itakuwa ni kituko!

Arsenal inacheza vizuri sana mwaka huu, halafu ina hamasa kubwa. Inaongoza kwa pointi 43, Man city inafuatia kwa mbali kwa pointi 36. Imefungwa mara moja tu na kutoka sare mara moja!
Klabu zingine zisubiri mwakani!!
Ni wabovu wakiwa under pressure, the best way arsenal muda wote wanatakiwa kushambulia kupack basi hawajui, na game ya jana ni ishara. Watafungwa na Liverpool, Spurs, Man city, Man united, Newcastle na Everton, wako so fragile wakiwa wanashambuliwa
 
Kama ingekuwa ni hivyo wasingekuwa juu kwa kuwazidi wapinzani wao pointi nyingi. Mashabiki tuwe tunaukubali ukweli ulio wazi!!
 
Ni wabovu wakiwa under pressure, the best way arsenal muda wote wanatakiwa kushambulia kupack basi hawajui, na game ya jana ni ishara. Watafungwa na Liverpool, Spurs, Man city, Man united, Newcastle na Everton, wako so fragile wakiwa wanashambuliwa
Mpaka sasa wapo vzr.
 
Arsenal wanapaswa kufocus kwenye kushambulia muda wote wakitaka kuwa salama
 
Wakati kombe la dunia linaanza wengi walitoa maoni kwamba Argentina atachukua kwa mwaka huu ila ikatokea kweli ngoja tuone.
Huyu ndo yuko under pressure

IMG-20230101-WA0031.jpg
 
Ni wabovu wakiwa under pressure, the best way arsenal muda wote wanatakiwa kushambulia kupack basi hawajui, na game ya jana ni ishara. Watafungwa na Liverpool, Spurs, Man city, Man united, Newcastle na Everton, wako so fragile wakiwa wanashambuliwa
Eti tufungwe na Tottenham, Liverpool na Man City? Kweli we jamaa Ni boya kabisa
 
Naungana nawe, Asenali anastahili kuwa bingwa, team spirit ipo, chemistry ya timu ipo, siku hizi haina majeruhi ya mara kwa mara, umri mdogo wa wachezaji pia ni factor nyingine inayochangia kuwaepusha na majeruhi, inshort hata mimi naona huu ni mwaka wa Arsenal, considering Ciy hana consistence.
 
Wakati huo huo Haland hakamatiki kwenye mbio za kuwania kiatu cha dhahabu!! ana magoli 21 hadi sasa, Anayemfuatia kwa mbali ni Harry Kane mwenye magoli 13.
 
Back
Top Bottom