Inabidi tukubali tu kuwa huu mwaka ni wa Arsenal, akiukosa ubingwa itakuwa ni kituko!

Inabidi tukubali tu kuwa huu mwaka ni wa Arsenal, akiukosa ubingwa itakuwa ni kituko!

Hao wote unaowataja hakuna wa kumfunga Arsenal. Walau ungesema Aston villa au Crystal Palace. Man u aliyembea na upepo wa kutokuwepo Partey tu.
Kwahyo mechi ya tarehe 22 pale Emirates untd ajiandae kutema bungo? Ngoja tusubiri maana football huwa inasuprise zake
 
Nilikuwa namaanisha arsenal kafungwa mechi nyingi na untd siyo magori
Kwa miaka ya karibuni Arsenal kama katika mechi 10 za Emirates may be katoa draw 2 pekee na lose 1 ila nyingine zote kashinda the same kwa Old Trafford Manchester United vs Arsenal so Emirates ni parahisi sana kwa Arsenal vs Manchester United
 
Timu zote zishawahi kupata maamuzi ya bahati
Kuna tofauti kubwa kati ya maamuzi ya bahati na maamuzi ya kupendelewa! Maamuzi ya bahati ni kwa timu zote lakini maamuzi ya kupendelewa ni kwa baadhi ya timu tu hasa kwa ligi ya bongo!
 
Ni wabovu wakiwa under pressure, the best way arsenal muda wote wanatakiwa kushambulia kupack basi hawajui, na game ya jana ni ishara. Watafungwa na Liverpool, Spurs, Man city, Man united, Newcastle na Everton, wako so fragile wakiwa wanashambuliwa
Strength ya arsenal ni kusakana,wanakaba Sana pale kati,Ila ukiwa na tabia ya kuwapiga pressure utajikuta umeachia mwanya wanakuadhibu,so yakupasa ucheze kwa tahadhari,Jambo amablo halitakupa ushindi dhidi yao
 
Bahati yao goli lilikataliwa??wewe ni mtu wa mpira kweli kwahyo goli la offside likikataliwa ni bahati ya arsenal je,timu zingine hazijawah pata bahati ya goli kukataliwa??
Lingekubaliwa ingekuwa ngapingapi?????


Cry more
 
Arsenal inacheza vizuri sana mwaka huu, halafu ina hamasa kubwa. Inaongoza kwa pointi 43, Man city inafuatia kwa mbali kwa pointi 36. Imefungwa mara moja tu na kutoka sare mara moja!

Klabu zingine zisubiri mwakani!!
Keka liko taabani hili
 
Back
Top Bottom