mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ni wabovu wakiwa under pressure, the best way arsenal muda wote wanatakiwa kushambulia kupack basi hawajui, na game ya jana ni ishara. Watafungwa na Liverpool, Spurs, Man city, Man united, Newcastle na Everton, wako so fragile wakiwa wanashambuliwaArsenal inacheza vizuri sana mwaka huu, halafu ina hamasa kubwa. Inaongoza kwa pointi 43, Man city inafuatia kwa mbali kwa pointi 36. Imefungwa mara moja tu na kutoka sare mara moja!
Klabu zingine zisubiri mwakani!!
Kama ingekuwa ni hivyo wasingekuwa juu kwa kuwazidi wapinzani wao pointi nyingi. Mashabiki tuwe tunaukubali ukweli ulio wazi!!Ni wabovu wakiwa under pressure, the best way arsenal muda wote wanatakiwa kushambulia kupack basi hawajui, na game ya jana ni ishara. Watafungwa na Liverpool, Spurs, Man city, Man united, Newcastle na Everton, wako so fragile wakiwa wanashambuliwa
Milima haijaisha safari bado ipo tusubiriKama ingekuwa ni hivyo wasingekuwa juu kwa kuwazidi wapinzani wao pointi nyingi. Mashabiki tuwe tunaukubali ukweli ulio wazi!!
Mpaka sasa wapo vzr.Ni wabovu wakiwa under pressure, the best way arsenal muda wote wanatakiwa kushambulia kupack basi hawajui, na game ya jana ni ishara. Watafungwa na Liverpool, Spurs, Man city, Man united, Newcastle na Everton, wako so fragile wakiwa wanashambuliwa
Let's wait hawapo organized wakiwa under pressure ya kushambuliwaMpaka sasa wapo vzr.
Huyu ndo yuko under pressureWakati kombe la dunia linaanza wengi walitoa maoni kwamba Argentina atachukua kwa mwaka huu ila ikatokea kweli ngoja tuone.
Sasa waliweza vp kuwa na rekodi hizi?Let's wait hawapo organized wakiwa under pressure ya kushambuliwa
Eti tufungwe na Tottenham, Liverpool na Man City? Kweli we jamaa Ni boya kabisaNi wabovu wakiwa under pressure, the best way arsenal muda wote wanatakiwa kushambulia kupack basi hawajui, na game ya jana ni ishara. Watafungwa na Liverpool, Spurs, Man city, Man united, Newcastle na Everton, wako so fragile wakiwa wanashambuliwa
Kukuhakikishia usemi wa wadiz walifungwa na marehemu man.Kama ingekuwa ni hivyo wasingekuwa juu kwa kuwazidi wapinzani wao pointi nyingi. Mashabiki tuwe tunaukubali ukweli ulio wazi!!
Arsenal ni timu ya kipoyoyo tu.Eti tufungwe na Tottenham, Liverpool na Man City? Kweli we jamaa Ni boya kabisa
Arsenal ni ice cream tu hamna kitu
Namba hazidanganyi!! Arsenal yuko moto kuliko timu zote za epl msimu huu. Najua ni ngumu kumeza hasa kwa mashabiki wa Man U!!Huyu ndo yuko under pressureView attachment 2465864