Inachekesha: Afisa wa TCRA naye analalamikia speed ya internet

Inachekesha: Afisa wa TCRA naye analalamikia speed ya internet

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Mojawapo ya Top guns wa mamlaka ya mawasiliano naye analalamika kuhusu speed ya internet aitwaye Inncoent Mungi kama sikosei ni afisa mawasiliano na mmewe mtangazaji susan Mungi naye analalamika.

Dah ila imekuwaje hii nchi Internet inachukuliwa kama anasa? ukiwasha redio kuna speech Rais samia anasema atasaidia vijana wafanye ubunifu na kuendena na teknolojia..HIVI HIZI HOTUBA WANAONGEA TU KAMA KUKARIRI AU KUNOGESHA SHUGHULI MAAALUMU SIKU IISHE?

MNAKERA SANA SANA INTERNET SIYO ANASA
kapost lisaa limoja lilipoita kwenye page yake ya facebook

Screen Shot 2021-10-19 at 17.23.40.png
 
TCRA ndio anatengeneza internet?
Usirudie kuuuliza swali la kijinga tena ,unajua hata somalia nchi isiyoeleweka Internt speed ni kubwa na bei nafuu kuliko hapa? nani anasimamia hizi kampuni za simu na kupitisha vifurushi vyao, vikishusha speed nani ni watchdog wao? ile fibrecable iliyotoka middle east ina faida gani sasa?
 
Inawezekana ni ofisa wa vitengo vingine visivyo vya ufundi,HR,manunuzi,internal audit,Logistic.
Hawezi kujua kwanini mtandao unasumbua,Swala la mtandao kuwa na speed ndogo kwenye taasisi za serikali

Wataalamu wanalielewa vzr,na lina Tiba,tatizo sera hazijaruhusu kuwekeza pesa za kutosha kwenye Miundombinu.

NIDA,TRA,NHIF,kote huko mtandao huwa unasumbua,kwanini hawawekezi kwenye fiber na kutumia multiple data routes,ni sera tu na Siasa,na vipaumbele
 
Tunaisoma wote,
tofauti ni kwamba wao Wanajua kutumia jasho la Mwananchi hawawezi kuumia wakati wakulipia bundle kubwa kwa matumizi yao!
 
Usirudie kuuuliza swali la kijinga tena ,unajua hata somalia nchi isiyoeleweka Internt speed ni kubwa na bei nafuu kuliko hapa? nani anasimamia hizi kampuni za simu na kupitisha vifurushi vyao, vikishusha speed nani ni watchdog wao? ile fibrecable iliyotoka middle east ina faida gani sasa?
Hamia Somalia badala ya kulia Lia
 
Mojawapo ya Top guns wa mamlaka ya mawasiliano naye analalamika kuhusu speed ya internet aitwaye Inncoent Mungi kama sikosei ni afisa mawasiliano na mmewe mtangazaji susan Mungi naye analalamika
Dah ila imekuwaje hii nchi Internet inachukuliwa kama anasa? ukiwasha redio kuna speech Rais samia anasema atasaidia vijana wafanye ubunifu na kuendena na teknolojia..HIVI HIZI HOTUBA WANAONGEA TU KAMA KUKARIRI AU KUNOGESHA SHUGHULI MAAALUMU SIKU IISHE?

MNAKERA SANA SANA INTERNET SIYO ANASA
kapost lisaa limoja lilipoita kwenye page yake ya facebook

View attachment 1979773
Hata maji safi na salama ni anasa. Lakini matrilion Yanatumiwa kwa mambo ya hovyo hayana tija.
 
Inawezekana ni ofisa wa vitengo vingine visivyo vya ufundi,HR,manunuzi,internal audit,Logistic.
Hawezi kujua kwanini mtandao unasumbua,Swala la mtandao kuwa na speed ndogo kwenye taasisi za serikali,
Wataalamu wanalielewa vzr,na lina Tiba,tatizo sera hazijaruhusu kuwekeza pesa za kutosha kwenye Miundombinu.
NIDA,TRA,NHIF,kote huko mtandao huwa unasumbua,kwanini hawawekezi kwenye fiber na kutumia multiple data routes,ni sera tu na Siasa,na vipaumbele
Yuko nyumbani leo huyo, mapumziko anaisoma namba ya 4G za uongo za makampuni ambayo wao wanashindwa kuzi regulate. unataka kuniambia sisi wavuja jasho wanuka vikwapa hatuna malalamiko ya hizi data an speed ambazo wao TCRA wanatakiwa kusimamia kwa weledi siyo kwa kutugandamiza kama wafanyavyo sasa
 
Wanaoniangusha Ni Viongozi Ninaowateua

Masuala Ya Details Design Ni Ya Darasani

Watu Wanataka Maji Wanywe Haraka

By Jiwe

Back
Top Bottom