Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mbona na wao wanatumiwa zile meseji za tuma hela kwenye namba hii harafu wanatutumia sisi namba ya kuwatumia kutoa taarifa wakati wana namba kibao hawazijifanyia kazi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
INGEKUWA VYEMA AKIWAPIGIA wenzake walioko ofisini wasaidie hali halisi tena yeye analamikia speed tu maan hela ya bando siyo shida kwake wengiene huku tumepigwa haswaaa kwenye dataInno Mungy aliacha kazi TCRA kitambo.