CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
TCRA wanahusika kwa kiasi kikubwa kwa sisi kupata shida na hii internet thing yaani ili mradi tu tuishi kwa masononeko ndiyo furaha yaoYaani raia kama hizi ndio tumezipa nafasi kushikilia iyo taasisi.
Usirudie kuuuliza swali la kijinga tena ,unajua hata somalia nchi isiyoeleweka Internt speed ni kubwa na bei nafuu kuliko hapa? nani anasimamia hizi kampuni za simu na kupitisha vifurushi vyao, vikishusha speed nani ni watchdog wao? ile fibrecable iliyotoka middle east ina faida gani sasa?TCRA ndio anatengeneza internet?
Hamia Somalia badala ya kulia LiaUsirudie kuuuliza swali la kijinga tena ,unajua hata somalia nchi isiyoeleweka Internt speed ni kubwa na bei nafuu kuliko hapa? nani anasimamia hizi kampuni za simu na kupitisha vifurushi vyao, vikishusha speed nani ni watchdog wao? ile fibrecable iliyotoka middle east ina faida gani sasa?
Hata maji safi na salama ni anasa. Lakini matrilion Yanatumiwa kwa mambo ya hovyo hayana tija.Mojawapo ya Top guns wa mamlaka ya mawasiliano naye analalamika kuhusu speed ya internet aitwaye Inncoent Mungi kama sikosei ni afisa mawasiliano na mmewe mtangazaji susan Mungi naye analalamika
Dah ila imekuwaje hii nchi Internet inachukuliwa kama anasa? ukiwasha redio kuna speech Rais samia anasema atasaidia vijana wafanye ubunifu na kuendena na teknolojia..HIVI HIZI HOTUBA WANAONGEA TU KAMA KUKARIRI AU KUNOGESHA SHUGHULI MAAALUMU SIKU IISHE?
MNAKERA SANA SANA INTERNET SIYO ANASA
kapost lisaa limoja lilipoita kwenye page yake ya facebook
View attachment 1979773
Wacha weee muambie huyo afisa wa TCRA aache kulialia basi ,kwa hiyo bwashee umesema internet haitengenezwi na Tcar kwani inatengenezwa wapi?Hamia Somalia badala ya kulia Lia
Yuko nyumbani leo huyo, mapumziko anaisoma namba ya 4G za uongo za makampuni ambayo wao wanashindwa kuzi regulate. unataka kuniambia sisi wavuja jasho wanuka vikwapa hatuna malalamiko ya hizi data an speed ambazo wao TCRA wanatakiwa kusimamia kwa weledi siyo kwa kutugandamiza kama wafanyavyo sasaInawezekana ni ofisa wa vitengo vingine visivyo vya ufundi,HR,manunuzi,internal audit,Logistic.
Hawezi kujua kwanini mtandao unasumbua,Swala la mtandao kuwa na speed ndogo kwenye taasisi za serikali,
Wataalamu wanalielewa vzr,na lina Tiba,tatizo sera hazijaruhusu kuwekeza pesa za kutosha kwenye Miundombinu.
NIDA,TRA,NHIF,kote huko mtandao huwa unasumbua,kwanini hawawekezi kwenye fiber na kutumia multiple data routes,ni sera tu na Siasa,na vipaumbele
Sema "Mimi nimeuliza swali la kijinga"TCRA ndio anatengeneza internet?