Inachekesha: Afisa wa TCRA naye analalamikia speed ya internet

Mbona na wao wanatumiwa zile meseji za tuma hela kwenye namba hii harafu wanatutumia sisi namba ya kuwatumia kutoa taarifa wakati wana namba kibao hawazijifanyia kazi...
 
Inno Mungy aliacha kazi TCRA kitambo.
INGEKUWA VYEMA AKIWAPIGIA wenzake walioko ofisini wasaidie hali halisi tena yeye analamikia speed tu maan hela ya bando siyo shida kwake wengiene huku tumepigwa haswaaa kwenye data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…