Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
how mfanyakazi ana believe maneno ya employer 😂😂.
huyu mfanyakazi ni fala sana. employer ana wadanganya ukute anajenga huko. watu mnalala njaa.
mkishtuka kijiwe kimeama.
board members wa masana ni watu wazito. mfanyakazi shtuka. wanawapiga pesa.