Inachosha

Inachosha

hehehe

Member
Joined
Jun 24, 2017
Posts
59
Reaction score
36
vijana wa bongo kufika chuo na miaka 20 na zaidi wakati nchi zlizoendela wanafka wakiwa bado hawajafikisha huu umri hali mbaya zaidi ni wazazi wa enzi hizi kulea watoto katika mifumo ya kitaaluma za shule na kutowashirikisha katika mambo ya msingi ya kijamii fikra zilizopana zitafumbuka kuonyesha kwamba wimbi la vijana wasomi mtaani litaendelea kwani wanataka kazi za kukaa na computa tu mezani na kupokea simu hasa Dada zetu...toa ushauri na maoni yako
 
Ushauri wangu waendelee kupokea simu.
 
Nimesoma thread yako mpaka nimeishiwa pumzi.., jaribu kuwekaga nukta au mkato watu tupate muda wa kumeza mate mkuu
 
Dunia ya kigital halaf unataka watu waishi km stone age.
 
Sasa mkuu hujui tofauti ya nchi zilizoendelea na Zinazoendelea?? ukishajua hiyo hupati tabu
 
Back
Top Bottom