vijana wa bongo kufika chuo na miaka 20 na zaidi wakati nchi zlizoendela wanafka wakiwa bado hawajafikisha huu umri hali mbaya zaidi ni wazazi wa enzi hizi kulea watoto katika mifumo ya kitaaluma za shule na kutowashirikisha katika mambo ya msingi ya kijamii fikra zilizopana zitafumbuka kuonyesha kwamba wimbi la vijana wasomi mtaani litaendelea kwani wanataka kazi za kukaa na computa tu mezani na kupokea simu hasa Dada zetu...toa ushauri na maoni yako