Inachukua muda gani hadi njia ya uzazi kufunguka?

Inachukua muda gani hadi njia ya uzazi kufunguka?

Ishu ya uzazi ni complicated kidogo
Nashauri kuwa mpole, jipe muda na uwe na imani na wakunga,
Atajifungua tu
 
Habari wakuu,

Niko hospital kumleta mjamzito kaskia Hali ya uchungu...watu wakuzalisha wamemchek wanasema njia ya uzazi ndo inaanza kufunguka, nauliza inachukua mda gani njia ya uzazi kufunguka kabisa
Kwanini hukuwauliza hao waliokwambia ndo inaanza kufunguka? Siku nyingine uifungue kabla hujaenda hospital.
 
Kama unabisha muulze daktar au mkunga mzoefu atakwambia nn namaanisha mkuu, tuachane na nadharia za vijiweni, wajawazito dawa yao Moto tu mpk siku anajifungua, wife nmezaa nae watoto 5 Sasa na wote wamezaliwa salama Bila upasuaji wala uchelewaji na mimba zote sjawahi kuacha kupeleka Moto[emoji4]
Unachosema ni kweli mkuu, na inashauriwa pia kama Kituo cha afya si mbali atembee kidogo si kupanda usafiri

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Ila tuwekane sawa
Njia (cervix) huwa inakua imefunga hadi uchungu uanze ndipo inafunguka kuruhusu mtoto kutoka,
Suala la kusema sex inafungua njia labda kama kuna njia zingine.
 
Back
Top Bottom