Inachukua muda gani hadi njia ya uzazi kufunguka?

Ishu ya uzazi ni complicated kidogo
Nashauri kuwa mpole, jipe muda na uwe na imani na wakunga,
Atajifungua tu
 
Habari wakuu,

Niko hospital kumleta mjamzito kaskia Hali ya uchungu...watu wakuzalisha wamemchek wanasema njia ya uzazi ndo inaanza kufunguka, nauliza inachukua mda gani njia ya uzazi kufunguka kabisa
Kwanini hukuwauliza hao waliokwambia ndo inaanza kufunguka? Siku nyingine uifungue kabla hujaenda hospital.
 
Unachosema ni kweli mkuu, na inashauriwa pia kama Kituo cha afya si mbali atembee kidogo si kupanda usafiri

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Ila tuwekane sawa
Njia (cervix) huwa inakua imefunga hadi uchungu uanze ndipo inafunguka kuruhusu mtoto kutoka,
Suala la kusema sex inafungua njia labda kama kuna njia zingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…