Jamaa yangu ilimchukuwa mwezi mmoja tu kila kitu kikawa sawaHabari wakuu,
Naomba kuuliza hivi inachukua muda gani katika kubadirisha jina la kwenye kitambulisho cha NIDA ikiwa ushafata taratibu zote ikiwemo, Deed poll, tangazo la gazeti na kulipia elfu ishirini NIDA, je naweza subiri ndani ya muda gani hadi wabadirishe jina langu kwenye database yao?
Msaada mwenye uzoefu na hili wakuu
Ndugu yangu nipo morogoro, na Mimi ni mhanga wa hii namba ya nida, majina yangu ya nida ni tofauti kabisa na majina ya kwenywe vyeti vyangu , sasa baada ya kutaka kubadili, naambiwa Kuna gharama za kwenda kupata Didi pol laki moja, kusajili hiyo Didi poll 32000 gharama za kulipia gazeti 40000, na gharama za nida 20000, plzz naombeni msaadaJamaa yangu ilimchukuwa mwezi mmoja tu kila kitu kikawa sawa
Ndiyo, inawezekana. Cha msingi ni kueleza sababu inayokufanya ubadilishe.Hivi unaweza kubadili jina kwenye NIDA kwa kuliondoa kabisa kisha ukaweka jina lingine?
Mfano mtu alikuwa anautwa MAPEMBE KIUNO SHAMBA anataka aitwe MAHINDI KIUNO SHAMBA hivi inawezekana?? Msaada tafadhali
Kama umesahau namba ya nida naipataje jamaniNdiyo, inawezekana. Cha msingi ni kueleza sababu inayokifanya ubadilishe.
Soma ilani wameelezea vizuri tu
Sababu inaweza kuwa nn?? mfano unaweza sema suliyatumii ten/siyataki aya majina???Ndiyo, inawezekana. Cha msingi ni kueleza sababu inayokufanya ubadilishe.
Majina mangapi??Jamaa yangu ilimchukuwa mwezi mmoja tu kila kitu kikawa sawa