Inachukua muda gani kupata kadi mpya CRDB endapo kadi yako ya zamani imeisha muda wake?

Inachukua muda gani kupata kadi mpya CRDB endapo kadi yako ya zamani imeisha muda wake?

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Kama kadi yangu ya CRDB imeexpire, ni unachukua muda gani kupata kadi mpya tena?

Kwa mdau yeyote anayefahamu anijuze.
 
Subiri watakutumia SMS kuwa kadi yako ume expire....watakuwa wameshakutengenezea nyingine.....
 
nenda kwenye tawi lao, kuna kaform unajaza ikiwemo namba za simu.
watakutengenezea kadi ingine mpya ndani ya wiki mbili (kama sikosei) watakustua uende kuchukua kadi mpya.
 
Inachukia almost wiki Moja, Utatumiwa sms kwmaba kadi yako tayar kachukua, Ni almkst siku 7 yaan wiki moja
 
Back
Top Bottom