L Lotus 123 JF-Expert Member Joined Nov 5, 2021 Posts 3,151 Reaction score 5,513 Dec 23, 2022 #1 Kama kadi yangu ya CRDB imeexpire, ni unachukua muda gani kupata kadi mpya tena? Kwa mdau yeyote anayefahamu anijuze.
Kama kadi yangu ya CRDB imeexpire, ni unachukua muda gani kupata kadi mpya tena? Kwa mdau yeyote anayefahamu anijuze.
A Ant Venom Member Joined Apr 16, 2021 Posts 33 Reaction score 57 Dec 23, 2022 #2 Subiri watakutumia SMS kuwa kadi yako ume expire....watakuwa wameshakutengenezea nyingine.....
J Jabali la Siasa JF-Expert Member Joined Jul 10, 2020 Posts 2,823 Reaction score 2,466 Dec 23, 2022 #3 Bank ni NMB Mzee
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Dec 23, 2022 #4 Jabali la Siasa said: Bank ni NMB Mzee Click to expand... Zote uchafu. Equity ukienda unapata kadi yako mpya ndani ya saa moja.
Jabali la Siasa said: Bank ni NMB Mzee Click to expand... Zote uchafu. Equity ukienda unapata kadi yako mpya ndani ya saa moja.
ywf JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 788 Reaction score 919 Dec 23, 2022 #5 nenda kwenye tawi lao, kuna kaform unajaza ikiwemo namba za simu. watakutengenezea kadi ingine mpya ndani ya wiki mbili (kama sikosei) watakustua uende kuchukua kadi mpya.
nenda kwenye tawi lao, kuna kaform unajaza ikiwemo namba za simu. watakutengenezea kadi ingine mpya ndani ya wiki mbili (kama sikosei) watakustua uende kuchukua kadi mpya.
O online24 JF-Expert Member Joined Jul 20, 2020 Posts 402 Reaction score 553 Dec 23, 2022 #6 Inachukia almost wiki Moja, Utatumiwa sms kwmaba kadi yako tayar kachukua, Ni almkst siku 7 yaan wiki moja
Inachukia almost wiki Moja, Utatumiwa sms kwmaba kadi yako tayar kachukua, Ni almkst siku 7 yaan wiki moja