Inachukua muda gani kupata mzigo uliofika katika FedEx's local facility?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Mzigo umefika katika ofisi za FedEx local facility, cha ajabu tracking inaonesha utakua delivery tar 4 mwezi wa pili, zaidi ya siku kumi na tano mbele, nami nataka nisafiri, namba za simu hawapokei, naomba mwenye uzoefu anipatie
 
Nenda ofisi yao Regent Estate, Mtaa wa Chato utapewa. Simu huwa hawapokei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…