Ndani ya saa 24 hadi 48transfer kutoka bank nchini India mpaka kwenye account yangu ya Equity?
Utapokea katika TZS.Currency ni TZS ila tansfer ni ya Dolla nimeambiwa haina shida.
Ni kweli hakuna shida yeyote, iwapo kiasi kilichotumwa ni Chini ya US $5000 , Ila kama kiais ni kikubwa zaidi mfano US $12,000 basi inatakiwa uwe na vielelezo stahiki vya kuthibitisha uhalari wa hiyo fedha.nimeambiwa haina shida.
Thanks mpambanaji mwenzangu.Ndani ya saa 24 hadi 48
Ni ndogo tu mkuu USD 3,800Ni kweli hakuna shida yeyote, iwapo kiasi kilichotumwa ni Chini ya US $5000 , Ila kama kiais ni kikubwa zaidi mfano US $12,000 basi inatakiwa uwe na vielelezo stahiki vya kuthibitisha uhalari wa hiyo fedha.
Utaipokea kwenye account yako bila tatizo na utaweza kuitoa.Ni ndogo tu mkuu USD 3,800
Ni ndogo tu mkuu USD 3,800
Lakini huwa inachukua muda gani mkuu, maana ilifanywa jana kutoka citi bank kwenda equity but up to date sijaona kitu.. weekend ndo hiiUtaipokea kwenye account yako bila tatizo na utaweza kuitoa.
Kuwa na subira, huenda jioni ama kesho mzigo ukaukutaLakini huwa inachukua muda gani mkuu, maana ilifanywa jana kutoka citi bank kwenda equity but up to date sijaona kitu.. weekend ndo hii
Kawaida huwa ni ndani ya saa 24 hadi 72 - Hutegemea na benki husikaLakini huwa inachukua muda gani mkuu, maana ilifanywa jana kutoka citi bank kwenda equity but up to date sijaona kitu.. weekend ndo hii