Inachukua muda gani kwa transfer kuwa reflected?

Inachukua muda gani kwa transfer kuwa reflected?

Fado

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
237
Reaction score
417
Wakuu kwema,

Nawasalimu katika bwana, hivi huchukua muda gani kwa mtu alienifanyia transfer kutoka bank nchini India mpaka kwenye account yangu ya Equity? Naomba kujua ndugu zangu. Currency ni TZS ila tansfer ni ya Dolla nimeambiwa haina shida.
 
nimeambiwa haina shida.
Ni kweli hakuna shida yeyote, iwapo kiasi kilichotumwa ni Chini ya US $5000 , Ila kama kiais ni kikubwa zaidi mfano US $12,000 basi inatakiwa uwe na vielelezo stahiki vya kuthibitisha uhalari wa hiyo fedha.
 
Ni ndogo tu mkuu USD 3,800
 
Utaipokea kwenye account yako bila tatizo na utaweza kuitoa.
Lakini huwa inachukua muda gani mkuu, maana ilifanywa jana kutoka citi bank kwenda equity but up to date sijaona kitu.. weekend ndo hii
 
Lakini huwa inachukua muda gani mkuu, maana ilifanywa jana kutoka citi bank kwenda equity but up to date sijaona kitu.. weekend ndo hii
Kawaida huwa ni ndani ya saa 24 hadi 72 - Hutegemea na benki husika
Marachache huchukua kati ya siku 3 hadi 5
 
Due to bank processing time, transfer inaweza kuchukua maximum 5 working days kuingia Kwa a/c kutoka bank tofauti, pia inategemea na correctness ya hiyo transfer(mf details hazina doubt),inawezekana ukaipata hata ndani ya siku 1 or 2

Kuhusu TZS and USD ,transfer itapokelewa on USD ila watakufanyia exchange kutokana na exchange rate ya hiyo bank(equity) so utaipata in TZS ila kutakua na either exchange gain or loss so kiasi kinaweza kuongezeka au kupungua.
 
Kwa sasa kupokea pesa kutoka nje ya nchi ni mateso makubwa, wire transfer inachukua zaidi ya wiki mbili
 
Back
Top Bottom