Inachukua siku kumi kupakua meli Dar, halafu mshindane na Mombasa?

Inachukua siku kumi kupakua meli Dar, halafu mshindane na Mombasa?

Habari inasema katika hizi berths mpya 15 zitanunuliwa conveyor belts, mchakato umeanza

Tulichelewa sana, Magu anaifufua hii nchi ilikua shimoni
Kweli, Vasco dagama kaivuruga
 
Mr GDP formula usitudanganye bwana, hizi habari za Citizen Ni za leo unless you have miraculously adopted your alleged operations in hours. Tafuta Wadanganyika wa kudanganya.
Hebu ufafanuzi wa hii picha mkuu hapa chini. Kitaalamu mzee wa bandari hapo ni teknolojia gani inatumika in operations?
image_c078dbf5-f762-4c74-a605-7c827b7d701f20191025_081011.jpeg
 
Back
Top Bottom