Inadaiwa Boniface Mkwasa katibu mkuu wa Yanga kajiuzulu

Inadaiwa Boniface Mkwasa katibu mkuu wa Yanga kajiuzulu

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
TETESI: Katibu Mkuu wa Yanga Boniface Mkwasa anadaiwa kuandika barua ya kujiuzulu nafasi yake hiyo ndani ya club ya Yanga. CHANZO: ShaffihDauda...
 
Acha wayaone machungu ya kuendesha timu bila hela: kipindi yanga wanazo walijiona wao ndo Tanzania na hakuna timu nyingine.acha wanyooke
 
Nimeiona na Mimi sehemu moja nasikia kaandika barua ya kujiuzulu. Eti kaambiwa na Dk anatakiwa hawe anapata muda mwingi wa kupumzika
 
Jamani in kweli Mkwasa ameachia ngazi, huku timu pendwa ikishapigwa mbili. Time za bongo hazipo serious kabisa.
 
Hii balaa na huko Nairobi ,Gor Mahia ashampiga Yanga 4 - 0, safari hii mpaka bakora zitembee pale Jangwani.
 
Hivi Yanga pesa za wadhamin wanapeleka wapi had washndwe kujiendesha,Sportpesa + vodacom....hadi waanze kumng'ang'ania Manji...!
 
Kwa taarifa yako sio katibu mkuu tu hata msemaji wenu diss mass ten!!naye huyo azam fc!!mwaka huu mnalo,WAPI KANJIBAI
Waende tu hata kabla yao yanga ilikua
Na itaendelea kuwa yanga
 
Back
Top Bottom