Tetesi: Inadaiwa CCM inatumia bilioni 12.8 katika mipango mkakati katika vikundi vitatu ambavyo ni ujasusi wa kusini na kanda ya kati

Sesimba

Senior Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
189
Reaction score
383
###BREAKNEWS:CCM SIRI IMEFICHUKA.
TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA NA MIPANGO MIOVU NDANI YA CCM

CCM inatumia bilioni 12.8 katika MIPANGO mkakati katika vikundi vitatu ambavyo ni UJASUSI WA KUSINI NA KANDA YA KATI 2:UJASUSI KASKAZINI NA CCM NI NGUVU YA DOLA.

UJASUSI KUSINI NA KANDA YA KATI
Hili ni kundi la watu 721 Lina mwenyekiti mmoja waratibu 9 na waandishi habari 23 mwenyekiti ni kiongozi mkubwa wa serikali ndo anaongoza kundi hili ambalo kila mwanachama wa kundi hili anapokamilisha misheni analipwa milioni mbili Kama mshahara

Pia Cha kusikitisha kundi hili limebeba Hadi viongozi wakubwa wa dini

Agenda kubwa za hili kundi.
1:kumsifia rais pamoja na kufanya kampeni za kuchafua watu mashuhuri kwenye jamii na kushawishi watu wenye mvuto katika jamii kwa kuwarubuni pesa kumsifia mwenyekiti wa chama.

Pia kuandaa maandamano ya kumsifia mwenyekiti wao mbinu wanazotumia nikuwashawishi VIJANA na kuwagawia pesa tasilimu 10000 na wale madereva Toyo wanawekewa mafuta.tayari wamesharatibu maandamano mengi wiki moja kabla ya serikali za mitaa watafanya maandamano.pia watatoa misaada ya vitabu kwa shule za msingi 248 na sekondari 124 Kama kampeni ya kuakisha CCM inaendelea kuaminika
Hili kundi limelamba bilioni 3 Kati ya izo 9.8

UJASUSI KASKAZINI.(UKC)
HILI KUNDI limepata gawio la 4.8 kundi hili linaongozwa na viongozi wakuu wachama na viongozi wakuu wa serikali mikoa husika

Kazi za hili kundi
Nikuwakamata wale wote wenye nguvu kwenye vyama vya upinzani na kuwafungulia mashitaka mbalimbali ikiwepo uhujumu uchumi wiki tatu au mbili kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa na katika mkutano wao wa Jana Arusha hotel fulani wameshaorozesha majina ya watu wanaopaswa kuwekwa kizuizini idadi yao 74 mpaka sasa.bado nazidi kufuatilia baadhi yao yupo lema viongozi wa Chadema wa wilaya na mikoa pamoja na madiwani na wafanyabihashara maarufu ambao ni wakereketwa wa Chadema.

Pia kundi hili linafanya kazi kwa karibu na watendaji wa vijiji na kata.
Ni tayari washatoa order kwao kuandika majina ya watu maarufu na wanachama wenye ushawishi kwenye kata na vijiji vyao pia wameagizwa kuongea na watu hao Kama watakuwa tayari kujiunga na CCM watapewa malipo ya awali shilingi milioni 1.5 pia watapewa nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa.

Ccm ni NGUVU YA DOLA.ili limelaba bilioni 5

Hili ndo kundi hatari zaidi linafanya kazi nchi nzima na limejumuisha viongozi watu maarufu wachungaji wafanyabihashara wakulima wakubwa pia linausisha Hadi viongozi wa ulinzi

Kazi kuu ya kundi hili nikuhubiri VITISHO na kujenga hofu kwa jamii kuwa majeshi yote yapo chini ya ccm kwaio mtu yoyote atakaye chagua Chadema au kuipigia kampeni Chadema atawekwa ndani au kufunguliiwa kesi yoyote ya uongo.

Pia kundi hili linawatu wanozunguka mashuleni kunadi CCM pia kundi hili ndo linawashawishi wanamzuki kutunga nyimbo za kumsifia mwenyekiti wao na tayari Kuna wanamziki wameshalipwa kutunga nyimbo ambazo zitaanza kusikika public kipindi Cha kampeni

Pia hili ndo lile kundi la wasiojulikana linataratibu mateso na Mambo mengine machafu kwa wapinzani.

Hizi ni habari za uhakika nimepenyezewa na mmoja Kati ya watu hao wanaounda kundi Hilo baada ya kunishawishi nijiunge na moja Kati ya makundi hayo.

NOTE:CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA KITAKUBALIKA KWA UCHAPAKAZI WAKE NA SIO MBINU NYINGINE ZOZOTE OVU
###achaoga2020

Note!

Hakika tunawaambia kwa.sasa hatuko tayari kuendelea kunyanyaswa hata kwa hatua nyingine moja. Amani hii Ni afadhali iharibike tukaaza upya kwa kuheshimiana kuliko kuwa na "Amani isiyo na Haki.

Tutachinjana mchana kweupe. Hata Bible inasema mtu akikupiga shavu la kulia mgeuzie na kushoto na baada ya hapo haisemi ufanye Kitu gani. Acha wajipange na ujinga wao Ila nasi tunajopanga. Huku chini maadui wa kwanza Ni wanaccm Kwanza. Bila kujali undugu na ujamaa tulio nao.

Mungu atatuhukumu mbele ya safari kwa hili. Lakini hatuko tayari kuwa wanyonge kwenye nchi yetu.
 
Duh! Hatari sana hii. Madaraka haya yatatumaliza kwa hakika kwani kuongozwa ni kwa lazima sasa hakuna hiari!
Na kusema kweli huku kitaa watu wamechafukwa na roho wanatapika hovyo! Jana nilibahatika kukaa na wajumbe wawili waliohudhuria kikao flank mtaani wakijilaumu kwa kukubali kupokea shilingi elfu kumi tu pamoja na kazi ngumu waliyoifanya ya kupita nyumba kwa nyumba kuhamasisha na kuoroshesha wanaccm!
 
Upinzani wamekosa sera, hawana mikakati, sasa wameanza vioja, this is a sign of failure, upinzani hawana jipya tena. CCM ina mipango, mikakati na sera bora kabisa kwa sasa, na mnaona maendeleo kwa macho chini ya Mwenyekiti wake mahiri kabisa, Mh. John Magufuli
 
Endelea kufanya uchunguzi zaidi ili tujue mwakani ni mwenyekiti yupi yupo kwenye list ya kununuliwa yeye na chama chake,tumeshachoka kuburuzwa
Nalog off
 
###BREAKNEWS:CCM SIRI IMEFICHUKA.
TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA NA MIPANGO MIOVU NDANI YA CCM

CCM inatumia bilioni 12.8 katika MIPANGO mkakati katika vikundi vitatu ambavyo ni UJASUSI WA KUSINI NA KANDA YA KATI 2:UJASUSI KASKAZINI NA CCM NI NGUVU YA DOLA.

UJASUSI KUSINI NA KANDA YA KATI
Hili ni kundi la watu 721 Lina mwenyekiti mmoja waratibu 9 na waandishi habari 23 mwenyekiti ni kiongozi mkubwa wa serikali ndo anaongoza kundi hili ambalo kila mwanachama wa kundi hili anapokamilisha misheni analipwa milioni mbili Kama mshahara

Pia Cha kusikitisha kundi hili limebeba Hadi viongozi wakubwa wa dini

Agenda kubwa za hili kundi.
1:kumsifia rais pamoja na kufanya kampeni za kuchafua watu mashuhuri kwenye jamii na kushawishi watu wenye mvuto katika jamii kwa kuwarubuni pesa kumsifia mwenyekiti wa chama.

Pia kuandaa maandamano ya kumsifia mwenyekiti wao mbinu wanazotumia nikuwashawishi VIJANA na kuwagawia pesa tasilimu 10000 na wale madereva Toyo wanawekewa mafuta.tayari wamesharatibu maandamano mengi wiki moja kabla ya serikali za mitaa watafanya maandamano.pia watatoa misaada ya vitabu kwa shule za msingi 248 na sekondari 124 Kama kampeni ya kuakisha CCM inaendelea kuaminika
Hili kundi limelamba bilioni 3 Kati ya izo 9.8

UJASUSI KASKAZINI.(UKC)
HILI KUNDI limepata gawio la 4.8 kundi hili linaongozwa na viongozi wakuu wachama na viongozi wakuu wa serikali mikoa husika

Kazi za hili kundi
Nikuwakamata wale wote wenye nguvu kwenye vyama vya upinzani na kuwafungulia mashitaka mbalimbali ikiwepo uhujumu uchumi wiki tatu au mbili kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa na katika mkutano wao wa Jana Arusha hotel fulani wameshaorozesha majina ya watu wanaopaswa kuwekwa kizuizini idadi yao 74 mpaka sasa.bado nazidi kufuatilia baadhi yao yupo lema viongozi wa Chadema wa wilaya na mikoa pamoja na madiwani na wafanyabihashara maarufu ambao ni wakereketwa wa Chadema.

Pia kundi hili linafanya kazi kwa karibu na watendaji wa vijiji na kata.
Ni tayari washatoa order kwao kuandika majina ya watu maarufu na wanachama wenye ushawishi kwenye kata na vijiji vyao pia wameagizwa kuongea na watu hao Kama watakuwa tayari kujiunga na CCM watapewa malipo ya awali shilingi milioni 1.5 pia watapewa nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa.

Ccm ni NGUVU YA DOLA.ili limelaba bilioni 5

Hili ndo kundi hatari zaidi linafanya kazi nchi nzima na limejumuisha viongozi watu maarufu wachungaji wafanyabihashara wakulima wakubwa pia linausisha Hadi viongozi wa ulinzi

Kazi kuu ya kundi hili nikuhubiri VITISHO na kujenga hofu kwa jamii kuwa majeshi yote yapo chini ya ccm kwaio mtu yoyote atakaye chagua Chadema au kuipigia kampeni Chadema atawekwa ndani au kufunguliiwa kesi yoyote ya uongo.

Pia kundi hili linawatu wanozunguka mashuleni kunadi CCM pia kundi hili ndo linawashawishi wanamzuki kutunga nyimbo za kumsifia mwenyekiti wao na tayari Kuna wanamziki wameshalipwa kutunga nyimbo ambazo zitaanza kusikika public kipindi Cha kampeni

Pia hili ndo lile kundi la wasiojulikana linataratibu mateso na Mambo mengine machafu kwa wapinzani.

Hizi ni habari za uhakika nimepenyezewa na mmoja Kati ya watu hao wanaounda kundi Hilo baada ya kunishawishi nijiunge na moja Kati ya makundi hayo.

NOTE:CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA KITAKUBALIKA KWA UCHAPAKAZI WAKE NA SIO MBINU NYINGINE ZOZOTE OVU
###achaoga2020

Note!

Hakika tunawaambia kwa.sasa hatuko tayari kuendelea kunyanyaswa hata kwa hatua nyingine moja. Amani hii Ni afadhali iharibike tukaaza upya kwa kuheshimiana kuliko kuwa na "Amani isiyo na Haki.

Tutachinjana mchana kweupe. Hata Bible inasema mtu akikupiga shavu la kulia mgeuzie na kushoto na baada ya hapo haisemi ufanye Kitu gani. Acha wajipange na ujinga wao Ila nasi tunajopanga. Huku chini maadui wa kwanza Ni wanaccm Kwanza. Bila kujali undugu na ujamaa tulio nao.

Mungu atatuhukumu mbele ya safari kwa hili. Lakini hatuko tayari kuwa wanyonge kwenye nchi yetu.
Kwakweli jiwe amekosa kabisa uhalali wa kutongoza!!

Alichobakisha ni kutumia hila, vitisho, ukatili na uovu mwingine wowote ili aendelee kutawala!

Kapoteza kabisa uwezo wa kutawala!
Anahangaika tu!!
 
Nguvu ya CCM ipo kwenye Vyombo vya Dola! Hakuna tofauti ya Chama CCM na Dola, Vinginevyo mbona Wangekuwa Wameondolewa Zamani!
Suluhisho ni Raia Kujitambua, hilo tu.
 
Subirini kusikia ripoti ya CAG ikija na habari kuwa mabilioni/matrilioni hayajulikani yametumika vipi kwani hata nyaraka za matumizi yake hazionekani.
 
CCM itashinda kwa njia yoyote ile kwa hii katiba ya 77
 
Back
Top Bottom