Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ipo siku unaweza kujuta kwanini uliandika haya pale utakapokuwa unaumbuka maana ukweli siku zote haujifichi japo unaweza kuchelewa kujulikana.Upinzani wamekosa sera, hawana mikakati, sasa wameanza vioja, this is a sign of failure, upinzani hawana jipya tena. CCM ina mipango, mikakati na sera bora kabisa kwa sasa, na mnaona maendeleo kwa macho chini ya Mwenyekiti wake mahiri kabisa, Mh. John Magufuli