Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Halo wadau wa celebrities forum.
Nimepata habari sehemu kuwa kijana wa Madale aka Simba, Dangote, sukari ya warembo au Diamond Platinum, alitaka kumuoa Hawa wa Nitarejea enzi hizo, lakini binti alimkataa.
Wimbo wa Nitarejea ni moja ya nyimbo ya kwanza za Diamond akimshirikisha binti Hawa ambaye hajulikani alipo sasa na anafanya nini.
Habari zinadai kijana huyu mwenye nyota kali alimzimia sana Hawa na walikuwa wapenzi enzi hizo kiasi cha kutaka kupeleka posa ila binti alimkataa akidai anaye mwanaume ampendaye zaidi ya Diamond na hivyo kumpa ukweli kuwa japo ni wapenzi, yupo mwingine binti kamzimikia zaidi.
Haikubainika ni mwanaume gani huyo Hawa alimpenda zaidi ya Diamond. Hata ktk orodha ya warembo aliotokanao Diamond ambayo ipo You Tube, Hawa ni mmoja wapo.
Haijulikani alipo Hawa hivi sasa na anafikirije akimwona Diamond akipaa.