Inadaiwa Diamond alitaka kumuoa Hawa wa Nitarejea lakini demu alichomoa

Inadaiwa Diamond alitaka kumuoa Hawa wa Nitarejea lakini demu alichomoa

Saa hizi Hawa anafikiriaje how?

Kuwa amkubali kwa sababu tajiri tu? Life is like that

Tunao wakataa na kuwaacha wanaweza kufanikiwa na kupata vyeo vikubwa, ni maisha na hakuna regret

Ukisema Hawa anajuta saa hizi maana yake hakuwa binadamu

In other words unataka kusema kila demu anayetokewa leo na diamond, mo, bakhresa lazima wakubali maana hawa jamaa wana visu? Ukiishawaza hivyo tu, tunataka kumjua mama yako
Duh!..
 
Sijajua umetokea mkoa gani sababu naweza kukuhukumu kumbe sio kosa lako,

in short kujua wapi alipo
baada ya kupotea kwa muda mrefu kwenye game, hawa ntalejea aliibuka mitandaoni akiomba msaada wa matibabu ya Ugonjwa wa figo zote mbili ambazo zilifeli kutokana na unywaji wa pombe za kienyeji.

Kwa bahati nzuri diamond alijitolea kumsaidia na crew nzima ya wcb wakampeleka India kupata matibabu akisindikizwa na babu tale, alipopata ahueni alirudi bongo na akapangishiwa hotel kwa muda wa miezi kadhaa hadi hali yake ikakaa sawa.

Hawa yupo na anaendelea na game na ngoma yake ya kwanza baada ya kupona aliachia chini ya wcb, kwa mara ya mwisho alionekana jukwaani kwenye tamasha la wcb akiwa na diamond.. ana nyimbo ameziachia zipo youtube
 
🚮🚮🚮🚮 haijulikani alipo? Wacha urongo wako na kutunga.
Hawa yupo you tube insta kila sehemu.
Na aliumwa juzi kati hapa hadi Mondi akaenda kumtibia India
 
Nilivyofikia huo mstari ikabidi nirudi juu nione uzi ni wa lini, mleta uzi yupo tanzania yake tofauti na hii yetu.
Samahani, huwezi jua kila kitu. Sasa kupitia jukwaa hili nimefahamu alipo Hawa
 
Hivi ushabiki unaweza kukufanya ukose akili au ni kwamba ulikua haujitambui wakati mondi anatoa nitarejea..

Kwa taarifa yako tu diamond ametoa nitarejea akiwa star Tanzania nzima anafahamima.. btw wakati anatoa mbagala sidhani kama alikua na wazo la kuoa alikua anatafuna mamanzi tu..
Wakati anatoa nitarejea alikua star mzuri tu ambaye mademu wengi aliwatafuna .. yule Hawa asingekuwa na ubavu wa kumkataa kama diamond angepata pepo la kutaka kuoa kipindi hicho..

Tatizo diamond umemfahamia kwa videos za yutube za online tv sasa hivi..kipindi anatoa zile nyimbo ulikua form two boarding ndio maana unahisi enzi anatoa nitarejea alikua kapuku ..
 
Back
Top Bottom