Tetesi: Inadaiwa hawa ndio Wasanii kumi tajiri Tanzania

Nimeshangaa wasanii 10 wote mabilionea akati mi nahisi bongo ina msanii bilionea mmoja tu
Hamna hata mmoja! Kama mapunda, tunaweza pata hata nusu mtu ila sio mtu kamili.

Si neno zuri sana ila vifo huwaumbua hawa ndugu zetu, kama ni domo, hivi si bado mnasema anaishi kwa kupanga panga kwa kuhama nyumba moja ya mtu huyu kwenda ya yule?

Mtasingizia nini?
 
Jameni acheni kumsingizia jirani yangu n.natue mtapata laaana kama Sabaya
 
Hii list imepikwa ccm lumumba,vanesa anamiliki 1m usd[emoji16][emoji16]
 
huu uzi uharo kbs....juma nature ampite jux na ay?!!...huyo kibakuli wenu hafiki mbali tu kwa ay

wenye pesa hpo ni watatu tu

1.mond
2.ay
3.jux

kwa mbali wanaofuata

4.kibakuli
5.prof j
6.lady jaydee ( ingawa kwa sasa hali yke kifedha ni mahututi)
7.harmonize
8.vannyboy

wale wengine uliowataja hawawezi kuwepo hata kwenye list
 
11. Mkaliwenu $ 0.5 million
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…