Tetesi: Inadaiwa hawa ndio Wasanii kumi tajiri Tanzania

Ila wabongo mna roho mbaya sana aisee
Eti gari ya 1b[emoji849][emoji849]
Kwa ule mtumba uliokuwa na matairi vipara, aliouziwa na wahindi Koko hapo posta...akaufunga na manailoni akausweka kwenye likontena lichovu badae akaita kamera contena likafunguliwa kufuli mkarushiwa mipicha na mivideo mwaaaah?[emoji849][emoji849][emoji848]

If that so oh yeah 1b my a$$
 
Izo chuki tu huwezi SEMA Alikiba Hana hela kwa namna yoyote uyu jamaa mfumo tu wa maisha Ila siku akisema alipue issue zake mtajificha
Ana pesa ya kawaida sana, naongelea kitu ninachokifahamu.
He is a vocally great singer yeah lakini hajatengeza pesa sana, showbiz is more than just a good voice. Lazima uwe business oriented na charisma pia ili upige pesa.
 
Tukumbuke hiyo ni net worth... sio pesa zilizoko benki au cash... hiyo ina include majumba, magari, biashara.. ambayo naona ni pesa ndogo sana. Yani ukikusanya mali zote za rayvanny hazifiki 2B madafu????? Iike serious????.. wakati mtu wa kawaida tu mtaani anaweza kua na net worth ya over 5b.. tena mfanya biashara mdogo tu wa mkoani... leave alone giants wa kariakoo na major giants wenye viwanda n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii comment naamini ulikuwa unatania mkuu
 
Lengo la kila msanii ni kuburudisha hadhira yao kupitia ufundi wao. Walakini, kazi yao lazima ifanane na mapato yao ambayo huamua mtindo wao wa maisha. Tanzania inajulikana kama nyumba ya muziki wa Bongo ambayo huvutia umati wa mashabiki kote ukanda wa Afrika Mashariki.

Aina hiyo pia imeona wasanii anuwai wakijipatia umaarufu na kujikusanyia utajiri. Wasanii wa muziki wa Tanzania wameonyeshwa kwenye uwanja wa kimataifa kwa ubora wa nyimbo wanazotengeneza.

Umaarufu wao umewapata sifa, tuzo, na pesa kwa kiwango sawa. Orodha ya wanamuziki tajiri nchini Tanzania pia ingeweza kutafsiri kwa watayarishaji wakubwa wa muziki nchini kupitia lebo zao za rekodi.

Hawa ndio wanamuziki 10 bora wa Tanzania.

1. Diamond Platinumz $ 7 milioni
2. Ali Kiba $ 4.5 milioni
3. Profesa Jay $ 3 milioni
4. Lady Jaydee $ 2.4 milioni
5. Juma Nature $ 1.5 milioni
6. AY $ 1.3 milioni
7. Harmonize $ 1.2 milioni
8. Vanessa Mdee $ 1 milioni
9. Rayvanny $ 0.9 milioni
10. Juma Jux $ 0.6 milioni

NB : hizi siyo hela cash benki Bali ni jumla ya assets kama: Nyumba, Magari, Biashara, Viwanja nk

Huu ni Utopolo mtupu.
 
Ni uzwazwa kutumia dollar ya Marekani kuelezea mambo ya bongo, halafu hamkawii kuwaita mabeberu wanaotaka kuwaua kwa chanjo.
 
Sometimes mnaoenda watanzania tuonekane tuonaoneana wivu yaan Juma Nature ana 1.5b au Alikiba ana 4.5B
🤣🤣🤣🤣hata mimi hapo kwa Juma Nature huwa nashindwa kuelewa.
Afu kwa Alikiba wanajulia wapi ikiwa mtu mwenyewe hapendi mambo ya show off
 
Apo ktk iyo list Ali kiba kawapita wote hao. Ata uyo domo ana lolote, anapenda show off sn sn, na uongo uongo mwingi. Kiba katulia mwana, mpoleeee.
 
According to Baba Revo hapo kwa ali kiba anaingia shilole
 
Ana pesa ya kawaida sana, naongelea kitu ninachokifahamu.
He is a vocally great singer yeah lakini hajatengeza pesa sana, showbiz is more than just a good voice. Lazima uwe business oriented na charisma pia ili upige pesa.
Kiba Ni billionaire mark my word
 
Lengo la kila msanii ni kuburudisha hadhira yao kupitia ufundi wao. Walakini, kazi yao lazima ifanane na mapato yao ambayo huamua mtindo wao wa maisha. Tanzania inajulikana kama nyumba ya muziki wa Bongo ambayo huvutia umati wa mashabiki kote ukanda wa Afrika Mashariki.

Aina hiyo pia imeona wasanii anuwai wakijipatia umaarufu na kujikusanyia utajiri. Wasanii wa muziki wa Tanzania wameonyeshwa kwenye uwanja wa kimataifa kwa ubora wa nyimbo wanazotengeneza.

Umaarufu wao umewapata sifa, tuzo, na pesa kwa kiwango sawa. Orodha ya wanamuziki tajiri nchini Tanzania pia ingeweza kutafsiri kwa watayarishaji wakubwa wa muziki nchini kupitia lebo zao za rekodi.

Hawa ndio wanamuziki 10 bora wa Tanzania.

1. Diamond Platinumz $ 7 milioni
2. Ali Kiba $ 4.5 milioni
3. Profesa Jay $ 3 milioni
4. Lady Jaydee $ 2.4 milioni
5. Juma Nature $ 1.5 milioni
6. AY $ 1.3 milioni
7. Harmonize $ 1.2 milioni
8. Vanessa Mdee $ 1 milioni
9. Rayvanny $ 0.9 milioni
10. Juma Jux $ 0.6 milioni

NB : hizi siyo hela cash benki Bali ni jumla ya assets kama: Nyumba, Magari, Biashara, Viwanja nk
Hivi kweli upo serious au unachemsha jamvi. Kuna Msanii mwenye hizo dollars in terms of millions? Hebu jaribu ku-convert kwa Tshs itakuwa kiasi gani?

Huyo mwenye $ 7 milioni si atakuwa na zaidi ya Tshs billion 3?

Nyuzi zingine zinafikirisha kweli kweli?

Atakayeamini hizi data atakuwa hajui currency exchange convertions.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom