Mbna hesabu ndgo sadala show ya nje analipwa zaid ya dola 50,000 zaid ya 100M anashow kama hizo kafanya zaidi ya 50 let say katengeneza 5bil kwa show zote za nje hizo.... Mauzo yake ya digital platforms zote kwa mwezi ni zaid ya mil 100 kwa miaka mitano tu katengeneza 5bil.. Magari tu aliopaki yte yanafikia zaid ya thamani 1.5bil...shares tu za wasafi media haziwez kuwa chini ya 3bil kwa mtu anajua uwekezaji wa media house kubwa a naelewa.... Hapo hatujaenda kwene deals kubwa za matangazo kama Pepsi na zingne nyingi... Hapo hujamgusa kwene label yake ya wcb ukizingatia wasanii almost wte wa nafanya vzuri, nyumba anazomiliki, shows za ndani, matamasha ya wasafi festival yanakua na deals za matangazo kibao...