Tetesi: Inadaiwa hawa ndio Wasanii kumi tajiri Tanzania

Tetesi: Inadaiwa hawa ndio Wasanii kumi tajiri Tanzania

JUMA NATURE ANAKAA MBAGALA UNASHUKA ZAKIEM UNAPANDA PIKIPIKI KUELEKEA SEHEMU INAITWA KWA MA TEMBO

KWA HALI ALIYONAYO SIDHANI KAMA ANA MILIONI 5 KESHI ANAYOMILIKI
Inasemekana anagongea hadi bia siku hizi.
 
Kwamba Juma Nature kampita Jux [emoji1][emoji1][emoji1]
Juma Nature kajichokea lakini na Jux ni kapuku wa kutupa labda kama haumfahamu in real life.
Hapo karibu wote wanaishi kwa kuungaunga ukitoa Sadala na Prof J.
 
Juma Nature kajichokea lakini na Jux ni kapuku wa kutupa labda kama haumfahamu in real life.
Hapo karibu wote wanaishi kwa kuungaunga ukitoa Sadala na Prof J.

kama umekubali sadala hauingi ungi,unapata wapi nguvu ya kuwakataa wengine!!!

mimi nitakwambia kiba pia haungi ungi,kwa vile havai macheni na malaba ya kuwaka waka utakataa.
 
Eti gari ya 1b[emoji849][emoji849]
Kwa ule mtumba uliokuwa na matairi vipara, aliouziwa na wahindi Koko hapo posta...akaufunga na manailoni akausweka kwenye likontena lichovu badae akaita kamera contena likafunguliwa kufuli mkarushiwa mipicha na mivideo mwaaaah?[emoji849][emoji849][emoji848]

If that so oh yeah 1b my a$$
ogopa sana mtu ananunua saa ya dola 35000
 
Utawajua wakiumwa au wakipata matatizo ya kifedha full kuzungusha bakuli matonya akasubiri...tuko nao kitaa tunawaona

Huko mkoan ndo wanatishika nao
Ogopa sana mtu anayempeleka Hawa kutibiwa njee ya nchi.
 
Mmhh yeye ndiyo anapenda ndogo ila za wanawake tu siyo za wanaume wenzie. Yeye kama yeye hageuzwi ila OD ndiyo alikuwaga anageuzwa na huyo tajiri unayemzungumzia hadi kuzawadiwa lile RR.
Toka lini jamaa akawa na ukaribu na huyo kiumbe?
 
kama umekubali sadala hauingi ungi,unapata wapi nguvu ya kuwakataa wengine!!!

mimi nitakwambia kiba pia haungi ungi,kwa vile havai macheni na malaba ya kuwaka waka utakataa.
pesa itajionesha tu wala huitaji kupiga kelele za kishabiki.
 
Km yule wa kuonyesha viatu na nguo....kumbe ni mzigo wa dukani wa mshkaji.

Sasa km anadanganya vitu vidogovidogo km nguo na viatu , vipi kuhusu nyumba za kifahari South Africa?

..hajawahi onekana popote nchini akiwa misele na RR...

Wasanii wa kibongo wanazidiana ku-fake maisha tu

Ukitaka kujua wana njaa ngoja zianze kampeni za CCM.....
 
Lengo la kila msanii ni kuburudisha hadhira yao kupitia ufundi wao. Walakini, kazi yao lazima ifanane na mapato yao ambayo huamua mtindo wao wa maisha. Tanzania inajulikana kama nyumba ya muziki wa Bongo ambayo huvutia umati wa mashabiki kote ukanda wa Afrika Mashariki.

Aina hiyo pia imeona wasanii anuwai wakijipatia umaarufu na kujikusanyia utajiri. Wasanii wa muziki wa Tanzania wameonyeshwa kwenye uwanja wa kimataifa kwa ubora wa nyimbo wanazotengeneza.

Umaarufu wao umewapata sifa, tuzo, na pesa kwa kiwango sawa. Orodha ya wanamuziki tajiri nchini Tanzania pia ingeweza kutafsiri kwa watayarishaji wakubwa wa muziki nchini kupitia lebo zao za rekodi.

Hawa ndio wanamuziki 10 bora wa Tanzania.

1. Diamond Platinumz $ 7 milioni
2. Ali Kiba $ 4.5 milioni
3. Profesa Jay $ 3 milioni
4. Lady Jaydee $ 2.4 milioni
5. Juma Nature $ 1.5 milioni
6. AY $ 1.3 milioni
7. Harmonize $ 1.2 milioni
8. Vanessa Mdee $ 1 milioni
9. Rayvanny $ 0.9 milioni
10. Juma Jux $ 0.6 milioni

NB : hizi siyo hela cash benki Bali ni jumla ya assets kama: Nyumba, Magari, Biashara, Viwanja na Aina nyingine yeyote ya uwekezaji
11. Dj DON NALIMISON
Wengine muongezee
 
Juma Nature kajichokea lakini na Jux ni kapuku wa kutupa labda kama haumfahamu in real life.
Hapo karibu wote wanaishi kwa kuungaunga ukitoa Sadala na Prof J.
Zile picha za Jux akiwa kwenye kagorofa white na gari mbili BMW na Marcedes sio mali yake?
 
kama umekubali sadala hauingi ungi,unapata wapi nguvu ya kuwakataa wengine!!!

mimi nitakwambia kiba pia haungi ungi,kwa vile havai macheni na malaba ya kuwaka waka utakataa.
Issue siyo chains hapa, issue ni uchumi. Ali bado sana hata akivaa macheni, kwa maisha ya kawaida ya kubadilisha mboga sawa lakini si zaidi ya hapo.
 
Issue siyo chains hapa, issue ni uchumi. Ali bado sana hata akivaa macheni, kwa maisha ya kawaida ya kubadilisha mboga sawa lakini si zaidi ya hapo.

wewe nani yake mpaka unasema bado sana!!!!
 
wewe nani yake mpaka unasema bado sana!!!!
Na wewe unayebisha ukiambiwa bado sana ni nani yake, labda tuanzie hapo.

Hawa watu wana marafiki, majirani, watu wanaofanya nao kazi hivyo usiwe deceived kirahisi kama kuwafahamu kwako kunategemea tantarira za kwenye media/social media.
 
kwahiyo mond ndiye hana hawa watu uliyewataja!!!

elewa kuna watu wanakutana na hao watu wote kwa ishu kubwa kubwa zaidi sio kuhesabu viatu kwenye shelf kama vijana wengi wanavyofanya wakipata nafasi.
 
Back
Top Bottom