Inadaiwa hizi video ni za wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020

CCM B wakijipigia Kura,halafu mshahara ni uleule na madeni ya kutosha kwa mangi
 
Niuchelewashaji wa. Maendekeo kuwa na watunga Sera ambao hawajui matokeo hasi ama chanya ya Sera ama sheria wanazozitunha/zipitisha bungeni
 
Mkuu umemsahau aliemuuwa Chacha Wangwe kwa sababu ya kutaka kugombea uenyekiti wa chama. Huyu naona Mungu kaanza kumhukumu hapa hapa duniani.
 
Chadema haijapokea hata sentano kipande ya ruzuku
Tulia wewe nani wa kususia ruzuku?Malyenge na mkwe wake huko ushirombo wasichukue ruzuku?
Hata wanaona haitoshi mmeambiwa manyumbu mchange shieeenzy.
 
Sio hao tu. Lakini pia hawa wamesababisha laana shetani mkuu wao akatoweka kama upepo.

Nabii Suleimani ktk kitabu chake cha Mhubiri anasema Duniani pesa, mali na madaraka ni ubatiri mtupu.

Uuaji aliofanya na uporaji na uhujumu mwisho wa siku ukawa ubatili mtupu akazima mithiri ya mshumaa.
 
Life yenyewe ni fupi arafu kuna wa2 wanaiba kura 😁 zulma haimuachi mutu salama ata kidogo.
Bilashaka wamepata funzo.

Hebu fikiria uchaguzi mwaka jana 2020 mpka sasa hesabu wamekufa mawaziri, madiwani na wabunge wanagapi ccm??
 
Nchi ilikuwa mikononi mwa mtu aliyepaswa kuwa Milembe hospital (dk Diallo).
 
Halafu wanakuaga na dhiki balaa, kuna Mtendaji mmoja juzi ananililia shida nikamtukana kimoyomoyo huku usoni najifanya kumuonea hurumma
 
Mmmmh mmmmh utawala wa yule bwana Sina hamu

Tatizo awamu ya Tano nchi iliongozwa na washamba
(In Comred Kinana voices)

Na pia wendawazimu na machizi wenye vyeti Milembe
(In Diallo voices)
 
Tatizo ni kwamba kwenye hiyo video clip hakuna ushahidi wa moja kwa moja kwamba hizo kura zinazoingizwa humo ni za chama gani...

Hivyo ni rahisi kwa vyama vya siasa kukana kuhususika na huo wizi wa kura
 
Tatizo ni kwamba kwenye hiyo video clip hakuna ushahidi wa moja kwa moja kwamba hizo kura zinazoingizwa humo ni za chama gani...

Hivyo ni rahisi kwa vyama vya siasa kukana kuhususika na huo wizi wa kura
Kwahiyo unataka sisi wananchi tuseme wale polisi walikuwa upande wa Chauma ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…