Inadaiwa hizi video ni za wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020

Yaani wafe tu,
Hakuna namna. Saa zingine malipo ni hapa hapa. Mungu haoni tabu kukuondoa wewe mmoja ili wengi wengine wapone. Imefikia mahali mtu ukisikia Jamii ya hawa watu wamepata shida fulani au kufariki kabisa unafurahi.
Mwenyewe huwa nafurahi sn
 
😂😂kutumia dola kupata mamlaka ni kazi sana
 
Ninachokiona hapo ni hao askari kuvaa barakoa na wakati mwaka 2020 kwenye Uchaguzi Mkuu tulikuwa hatuvai barakoa kiviiile!
 
Hamna cha kueleweka hapo........ni kwamba hawawezi kuzuia uchaguzi na huo ndio ukweli.
Kwa hiyo wewe ndiye unayejuwa "ukweli" peke yako, hata wakati unapoonyesha dhahiri kwamba una changamoto ya uelewa wa unachosoma?
 
Kina Nyerere, Mandela na wengine wangefuata USHAURI kama huu, wasingekomboa nchi zao. Wakoloni waling'ang'ania Kama wanavyofanya CCM, lakini hufika wakati wakaondoka, CCM halikadhalika wataondoka tu hata wakitumia TISS, Polisi na time, wataondoka tu.
 
Kwa hiyo wewe ndiye unayejuwa "ukweli" peke yako, hata wakati unapoonyesha dhahiri kwamba una changamoto ya uelewa wa unachosoma?
Hamna ukweli zaidi ya nilichokiandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…