Siyo kwamba hawajui kuongopa.Hapa issue ni amri kutoka mbinguni. Ila imependeza kujulikana kuwa ni mmoja wapo wa wale makirikiri wanaomlinda mwana wa mungu aliyeko hai katika ulimwengu wa makinikia na vipande viwili vya bherngae. Asante kwa utafiti na ugunduzi wenu. I believe kwa mwendo huu itajulikana hata alipo au yalipo mabaki ya kijana benny