Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Polisi wana option ya kumhoji Nape Mwenyewe, Maulidi wa Kitenge, hao wengine wanaoonekana kwenye video hata Hamorapa ili watoe maelezo yao, ingeweza kusaidia uchunguzi kama kweli wamekusudia hilo!