Tetesi: Inadaiwa huyu ndio Herry aliyemtishia Bastola Nape Nnauye, akiwa na Simon Sirro

Tetesi: Inadaiwa huyu ndio Herry aliyemtishia Bastola Nape Nnauye, akiwa na Simon Sirro

Status
Not open for further replies.
......hawa wanatumika kufanya mauaji ya watu wasio na hatia!!
Wakamatwe...kisha Nape, Dereva wa Lisu, Kitenge waitwe kuwatambua!! Na lissu apelekewe picha zao akawatambue, waseme nani alikuwa anawatuma? Ben saa nane alitupwa wapi!? N.k
 
Mnajisumbua kutafuta mfu. Huyu anaweza kuwa kwenye vile viroba vinavyokutwa na miili ya watu.
 
uyu mbona
Daniel Masimbusi ni yule aliyevaa tshirt nyeusi aliyekuwa anamsukuma Nape kwenye gari. muulize alikuwa wapi siku ya tukio la Lissu

DLXlSM_XoAAC-l6.jpg


DLXlSeQW0AE93Pu.jpg


DLXlTKUWkAAy-zg.jpg


DLXlUEIWAAAIBHs.jpg
Km kuna MTU anaiamini police Tanzania na serkali ya magufuli wapimwe akili


jingalao
jerry muro
cocochanel
motochini
lizaboni
mudawote
wakudadavua na kuendelea wapime tu akilizao kwa koments zao utajua wengi wanafaa kuwa milembe
 
Nimegundua kuwa nina matatizo ya macho sifai kuwa shahidi kwenye jambo lolote kwani macho yananidanganya kuwa ni watu watatu tofauti.......
 
NASHAURI SIRRO AJIUZULU HARAKA SAN HAKUNA CHOCHOTE ANACHOKIFANYA ZAIDI YA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA!

Sirro ni mnafiki miaka yote. Na wanafiki huunda group moja ndio maana kuna wanafiki watatu tanzania hii wanaunguruma na unafiki wao.
 
Jeshi la polisi kama wanataka wawe na watu weledi, wanaojua wanafanya nini, jukumu la kuteua IGP waachiwe wao . Madhara ya rais kuchagua IGP ni haya, jeshi zima linaonekana hawajui wanachokifanya

Haiwezekani jeshi la polisi lishindwe kumkamata mtu aliyemtishia bastola aliyekuwa Waziri wa habari tena ameonekana hadharani, sasa kazi ya polisi ni nini kama hii ndogo tu hawawezi.
Hawa watu waache upumbavu, kama kazi imewashinda waseme maana wanaharibu kodi zetu wanazochukua kama mishahara bure
 
chabuso wasiojulikana wanajulikana na wachache kama mleta,ila sema umma wa watanzania ndiyo hauwajui!

Afadhali na siye tumejua!
 
Kwa kumbukumbu kama kuna mwenye clip au picha ya clouds siku ya tukio la RC atuwekee kuna kitu nataka kujiridhisha.
 
wooden flag sidhani kama CCM watakubari hilo,polisi ni kitengo muhimu cha Chama,bila hao CCM watakosa kitengo cha kudhibiti upinzani....
 
Haya sasa wakawafiche visiwani anjuan make kila kitu kipo uchi.
 
Kwa kumbukumbu kama kuna mwenye clip au picha ya clouds siku ya tukio la RC atuwekee kuna kitu nataka kujiridhisha.


Mkuu wetu wa Mkoa kumbe alianza zamani hili tukio la kumshambulia mzee wetuWarioba limeshasahaulika
wario.jpg
 
Haya waifungie na JF kwa uchochezi, hii dhambi ,halafu anaebariki huu unyama utamuona anakula kwenye media na kuomba aombewe,sijui ili azidi kuua ama ili vitendo vyake viovu na genge lake visijulikane kwa uma!!!!
 
Mnajisumbua kutafuta mfu. Huyu anaweza kuwa kwenye vile viroba vinavyokutwa na miili ya watu.
Mkuu hili nalo neno mbona ghafla eti ' mje mtambue miili' mmmh kuna tusilolijua. Anyways mwanzo mzuri tujipe moyo watalipa walichokianza kwa nini Tz ya leo watu wawe waoga kwa sababu za kudhulumiwa uhai wao pasi kosa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom