Tetesi: Inadaiwa huyu ndio Herry aliyemtishia Bastola Nape Nnauye, akiwa na Simon Sirro

Tetesi: Inadaiwa huyu ndio Herry aliyemtishia Bastola Nape Nnauye, akiwa na Simon Sirro

Status
Not open for further replies.
Yaani umekuwa na akili ya ghafla sana kama Mimi nilivyofikiria. Yawezekana kapotezwa. Labda huyu in ndugu kaja humu kuweka mambo wazi. Time will tell
Mnajisumbua kutafuta mfu. Huyu anaweza kuwa kwenye vile viroba vinavyokutwa na miili ya watu.
 
Siku hizi geshi ra porisi .. ni siasa kwa kwenda mbele..!

Kitu cha kuwaumbua huwa wanakifanyia siasa, halafu wana fikiri wa tz wote ni mambumbu..!

Nasari kawaumbua mchana kweupe, je hili nalo lililofanyika kweupe juani, walitegemea kuwa hatuoni!
 
Angalia hii picha ukiwa wewe na RC Makonda, Herry ni huyo hapo nyuma yenu.
huyu ndiye anadaiwa alimtolea Nape Nnauye bastola kule Oysterbay. Anaitwa Herry Kisanduku aka Kassimu Sniper.
DLXoYCxWsAAeZBu.jpg

DLXnj9GW4AARBnM.jpg

DLXnkySW0AAdRrP.jpg

Nape alivyoonja joto ya jiwe leo kwa kutolewa bastola na kusukumizwa kwenye gari

Polisi: Yeyote mwenye taarifa za uhakika za aliyemlenga Nape kwa bastola atujulishe

Mkuu LORD OF THE SKIES Mungu akubariki sana kwa uzalendo wako
 
Haro wewe kijana acha uchochezi,tumeshasema ametoroka atumjui.Ova!
 
Angalia hii picha ukiwa wewe na RC Makonda, Herry ni huyo hapo nyuma yenu.
huyu ndiye anadaiwa alimtolea Nape Nnauye bastola kule Oysterbay. Anaitwa Herry Kisanduku aka Kassimu Sniper.
DLXoYCxWsAAeZBu.jpg

DLXnj9GW4AARBnM.jpg

DLXnkySW0AAdRrP.jpg

Nape alivyoonja joto ya jiwe leo kwa kutolewa bastola na kusukumizwa kwenye gari

Polisi: Yeyote mwenye taarifa za uhakika za aliyemlenga Nape kwa bastola atujulishe

Kwa hiyo Sirro ni upuuzi gani uliouliza jana!? Kumbe unaye wewe na Bashite!! Conclusion: Bashite na huyo Henri ndio wauaji wa Tundu lissu
 
jf ndio iliibua kashfa ya Richmond iliyopelekea kuanguka baraza la mawaziri, sijui kwa trend hii kuna lingine inataka kutuletea au ndio amri ya kuifunga inapoanzia!?
Lililo wazi ni kwamba kama kunaaliyekuwa hajaijua hii dunia basi ukweli ni kwamba ni ndogo sana.
 
Hapo tumeshaunganisha dots......wauaji wetu na watelaji tunawajua kweli dunia hii hakuna siri tena!! Lisu akiziona picha na huyu sniper na huyu mwingine atasema kitu!! Uzuri hakuna siri chini ya jua na kwa polisi wa Tanzania.....pia ukitaka siri zaidi jina na mpango mzima....kwa wale masela kule selo wana data zote.....utashangaa mtandao wao mkubwa sana na unaingiliana na polisi wale wapiga deal wenzao....hakuna siri!!!! Aliepiga risasi Lisu aliendesha gari na hata posho waliolipwa itawekwa wazi siku moja!!!!........muda tuu
Kumbuka Nape alisema,"watu ni wale wale,idadi ni ile ile na gari ni hilo hilo" JIONGEZE
 
Angalia hii picha ukiwa wewe na RC Makonda, Herry ni huyo hapo nyuma yenu.
huyu ndiye anadaiwa alimtolea Nape Nnauye bastola kule Oysterbay. Anaitwa Herry Kisanduku aka Kassimu Sniper.
DLXoYCxWsAAeZBu.jpg

DLXnj9GW4AARBnM.jpg

DLXnkySW0AAdRrP.jpg

Nape alivyoonja joto ya jiwe leo kwa kutolewa bastola na kusukumizwa kwenye gari

Polisi: Yeyote mwenye taarifa za uhakika za aliyemlenga Nape kwa bastola atujulishe

KAMANDA sirro aache unafiki na kudanganya umma tukio hili analijua vyema na waliolipanga akiwemo Bashite wote anawajua. Anataka kutuletea hadithi ya nabii Nathan aliyetumwa na mungu kwenda kwa mfalme Daud kumpa vipande baada ya kuchukua mke wa Yoab ( kifupi Mfalme Daud baada ya kupewa hadithi ya mfano akajibu "mtu huyo auawe" nabii Nathan akamjibu "mtu huyo ni wewe"
 
Makonda na Sirro wasaidie jeshi la Polisi kuwatambua HERRY KISANDU NA DANIEL MASIMBUSI

My take:Ujanja bila ELIMU kichwani ni bure hata kama mkuu anakupenda vipi.
Sasa hao walioambiwa waige kwa Paul Makonda wajiulize waige nini kutoka kwake??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom